Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
You know how I like it, when you lovin me๐ค๐God's plan Boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You know how I like it, when you lovin me๐ค๐God's plan Boss
2 days mkuu,hizi holiday ni siku ngapi wakuu, nisije kuyakanyaga
Wewe sasa ndo wa pwani pureeeeendio nipo nao unautaka?
Wee nunua Nazi ya pakti, au wakune siku hizi Kuna mashine Bei ni 100 tu.Acha hzo nanjiii boy bana ๐๐๐๐๐
oooh! this i how intelligent businessman portrayedYou know how I like it, when you lovin me๐ค๐
Naomba AthletiCo Madrid ashinde, kwa Barca na psg wauane tu๐๐คฃSana ball la nguvu, tusubiri na mechi za kesho.
mimi mkurya tata mtu wa nchini๐๐๐Wewe sasa ndo wa pwani pureeeee
Kama hii umeelewa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Forever we mean no malice to nobodyoooh! this i how intelligent businessman portrayed
tukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki ๐๐๐Karibuni kwenye sikukuu, tukutane kwenye ibada
Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis ๐๐๐2 days mkuu,
Wewe jilipue tu๐คฃAfadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis ๐๐๐
Nime waza pia hako ka kitonga๐๐คฃ, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!๐Afadhari, wangevusha kidogo ianze alhamis ๐๐๐
Asante sana mzee wa No malice........Karibuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Pamoja Kaka, I mean no Malice to nobodyAsante sana mzee wa No malice........
Tukutane kwenye ibada tu, baada ya hapo kila mmoja apotee kivyaketukaribie wapi? unajua ndo mana huaminiki ๐๐๐

ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?๐๐๐Nime waza pia hako ka kitonga๐๐คฃ, sema kwenye makarai hamna kazi ngumu ujue!๐
Lakini makarai si private sector??ulisikia wapi watumishi wa umma wanalalama ugumu wa kazi?๐๐๐