Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wachoyo we na boss wakoPole usijari utapona
Jamani it was for fun tu, beside Niko sehemu Kuna wadada Wana cheza na kuji shaua vizuriπππMaanake nini anyway iko vizuri
Kaka mbona Niki andika Humu, kuwa atakaye tamani kujumuika namkaribisha nyumbani kwangu.Wachoyo we na boss wako
hiyo ndo imefanya kuwa mabossWachoyo we na boss wako
Ulivyoanza na jamani nikagoma kuendelea kusoma SIrπππJamani it was for fun tu, beside Niko sehemu Kuna wadada Wana cheza na kuji shaua vizuriπππ
Why πUlivyoanza na jamani nikagoma kuendelea kusoma SIrπππ
Sasa hapo boss n yupi?hiyo ndo imefanya kuwa maboss
Uliandika wapiKaka mbona Niki andika Humu, kuwa atakaye tamani kujumuika namkaribisha nyumbani kwangu.
ni wewe albinSasa hapo boss n yupi?
We jichanganye na ushanipa mpaka kituo cha kushukiani wewe albin
Muite kubwa la manusuππni wewe albin
NAni aje akutane na kijeba Cha miraba 14, ndevu Osama aka someππSijui ni kitu gani kila nikialika rafikizo hawaniamini kabisa nimeamua kuwa najialika mwenyewe
Half american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usikuKaribuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz, @Vincenzo Jr
Tena ndevu nazipaka hina ile nyekundu. umeyakanyagaNAni aje akutane na kijeba Cha miraba 14, ndevu Osama aka someππ
Ni wapi na lini?Karibuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz
Ni kweli kabisa aiseeeeHalf american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usiku
Kulikuwa big party siku ya Leo, And jamaa baadhi wawili wame jumuika nami.Ni wapi na lini?
Haya bhana, sema abaya Zina wapendeza Baadhi ya wadada aiseeπ€πTena ndevu nazipaka hina ile nyekundu. umeyakanyaga
Yani unanikaribisha pamoja na Poor Brain ?Half american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usiku