Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
9:55 PM how are you feeling today
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Quite gud, how about you?9:55 PM how are you feeling today
Sad brother 😭😭😭 my wifi package dead todayQuite gud, how about you?
Then you better pay up for another, unge tumia ya voda Wana legeza kidogo Kiki Isha.Sad brother 😭😭😭 my wifi package dead today
Now narudi kwenye postpaid ya Airtel kaka sema ntalipia mwezi ujao mwezi huu silipi Tena watanifilisi Hawa jamaa 😁🤣Then you better pay up for another, unge tumia ya voda Wana legeza kidogo Kiki Isha.
Hawakati kabisa.
Pillow talk 😁🤣🤣🤣😁😁😁I slept with my pillows 🤣😁
hiyo mkiwa wengi katika nyumba Ina kaa poa, au wewe una toa nusu, wengine wachangia Kidogo.Now narudi kwenye postpaid ya Airtel kaka sema ntalipia mwezi ujao mwezi huu silipi Tena watanifilisi Hawa jamaa 😁🤣
Nothing huge , I mean cotton pillows tu🤣😊Pillow talk 😁🤣🤣🤣😁😁😁
Mdogo wangu hadi kwenye ngumi upo 😂😁Nasubiri kumuona Twaha leo kama atadundwa tena au lah🤸♀️
Yeah! Nasinzia kwenye kochi ila namsubiri kidukuMdogo wangu hadi kwenye ngumi upo 😂😁
Nimelipia cha 10 k gb 8 zinanitosha siku 30 hizi za kuzifaidi huku nikisubiria hela ya kulipia package ya 50k ya zuku fiber nichange na majirani hapa mtaani kwanguhiyo mkiwa wengi katika nyumba Ina kaa poa, au wewe una toa nusu, wengine wachangia Kidogo.
My mom anayo kwake ya voda, na huwa Wana changia na dogo, miksa dada wa nyumbani coz Wana enjoy kutumia.
Shida kwangu jobless pro max 😀,
aisee we kaza ila 50k mbona kawaida mzee??
Na SI una huduma ya movies?!, tafuta mwingine uwe una muuzia mzigo.
Leo atashinda huyoYeah! Nasinzia kwenye kochi ila namsubiri kiduku
Hivyo sivi wezi kiukweli🤣😆, maana Niki Anza Soma au fatilia vitu kwenye PC au Simu.Nimelipia cha 10 k gb 8 zinanitosha siku 30 hizi za kuzifaidi huku nikisubiria hela ya kulipia package ya 50k ya zuku fiber nichange na majirani hapa mtaani kwangu
Mwezi huu itabidi niwe mvumilivu kaka 😂😁 mwezi ujao unlimited lazima nilipie kakaHivyo sivi wezi kiukweli🤣😆, maana Niki Anza Soma au fatilia vitu kwenye PC au Simu.
Naeza jikuta natumia Mda mwingi mno.
Bado kucheki mieleka, basket ball au mpira na documentary za matukio hapa ndo nawekaga quality.
Sema 50 k igawe, uwe una jikusanya kwa siku ambayo ni 1700 tu,
So mkiwa watatu mbona Ina weza kuwa 600 tu mzee 🤓😊
unge tumia voda unge changanyikiwa maana ni sawa na mitungi 2 ya kati ya oryx 😆🤓Mwezi huu itabidi niwe mvumilivu kaka 😂😁 mwezi ujao unlimited lazima nilipie kaka
😂😁😁😁unge tumia voda unge changanyikiwa maana ni sawa na mitungi 2 ya kati ya oryx 😆🤓
Poor Brain napiga dharau hapa, Bora ninge chuku chuku😆🤓
Kazi ngumu sanaMapenzi ya mbali ogopa cute...msogeze muwe karibu