JamiiForums Usiku wa manane

Now narudi kwenye postpaid ya Airtel kaka sema ntalipia mwezi ujao mwezi huu silipi Tena watanifilisi Hawa jamaa 😁🀣
hiyo mkiwa wengi katika nyumba Ina kaa poa, au wewe una toa nusu, wengine wachangia Kidogo.

My mom anayo kwake ya voda, na huwa Wana changia na dogo, miksa dada wa nyumbani coz Wana enjoy kutumia.

Shida kwangu jobless pro max πŸ˜€,

aisee we kaza ila 50k mbona kawaida mzee??
Na SI una huduma ya movies?!, tafuta mwingine uwe una muuzia mzigo.
 
Nimelipia cha 10 k gb 8 zinanitosha siku 30 hizi za kuzifaidi huku nikisubiria hela ya kulipia package ya 50k ya zuku fiber nichange na majirani hapa mtaani kwangu
 
Nimelipia cha 10 k gb 8 zinanitosha siku 30 hizi za kuzifaidi huku nikisubiria hela ya kulipia package ya 50k ya zuku fiber nichange na majirani hapa mtaani kwangu
Hivyo sivi wezi kiukweliπŸ€£πŸ˜†, maana Niki Anza Soma au fatilia vitu kwenye PC au Simu.
Naeza jikuta natumia Mda mwingi mno.

Bado kucheki mieleka, basket ball au mpira na documentary za matukio hapa ndo nawekaga quality.

Sema 50 k igawe, uwe una jikusanya kwa siku ambayo ni 1700 tu,
So mkiwa watatu mbona Ina weza kuwa 600 tu mzee πŸ€“πŸ˜Š
 
Mwezi huu itabidi niwe mvumilivu kaka πŸ˜‚πŸ˜ mwezi ujao unlimited lazima nilipie kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…