Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Yaani nimemaind sana haya maishakwamba una hypersonic missile kwenye reserve yako😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani nimemaind sana haya maishakwamba una hypersonic missile kwenye reserve yako😁😁
Na hayupo kiukweli, mi katibu mwenezi wa kataa ndoa.Hamna muoaji hapa
Tunasubiri kesho ifike2349
Usi pagawe Sana mkuu, Kama ume kula, familia uliyo toka nayo iko poa ni Jambo la kumshukuru Mungu.Yaani nimemaind sana haya maisha
Nimejieleza msg ndefu sana.. hafu hajanijibu kaikaushia.. imeniuma.. nimedharirisha brand.. naombeni mnisamehe..
Do you guys still fall in love??, hukusoma Andiko langu la hisia ni mzigo??.Nimejieleza msg ndefu sana.. hafu hajanijibu kaikaushia.. imeniuma.. nimedharirisha brand.. naombeni mnisamehe..
Dah sema maisha yanasonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu
Nilisema ndio last time.. nimebugiDo you guys still fall in love??, hukusoma Andiko langu la hisia ni mzigo??.
Usi kubali kuyumbushiwa kisa hisia mkuu, sometimes Jitahidi u focus mambo ya msingi.
Nimekula man. Wali + Maziwa hafu nna Fanta hapa inaniangalia..Usi pagawe Sana mkuu, Kama ume kula, familia uliyo toka nayo iko poa ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Sometimes tusi wazie Sana tulivyo kosa, Bali tufurahie tulivyo navyo
Naelewa Hali yako, coz nami ni wa huko.
Hilo bomu mzee 😂😂, citric acid + maziwa 😁Nimekula man. Wali + Maziwa hafu nna Fanta hapa inaniangalia..
Dah sema maisha yanasonga
Huu ushauri mtasikia Mad Max RIP. Bora nichill kwanza.Eeeeh achana nae huyo na utafute pisi kali kumzidi