Yaani nimemaind sana haya maishakwamba una hypersonic missile kwenye reserve yakoππ
Na hayupo kiukweli, mi katibu mwenezi wa kataa ndoa.Hamna muoaji hapa
Tunasubiri kesho ifike2349
Usi pagawe Sana mkuu, Kama ume kula, familia uliyo toka nayo iko poa ni Jambo la kumshukuru Mungu.Yaani nimemaind sana haya maisha
Nimejieleza msg ndefu sana.. hafu hajanijibu kaikaushia.. imeniuma.. nimedharirisha brand.. naombeni mnisamehe..
Do you guys still fall in love??, hukusoma Andiko langu la hisia ni mzigo??.Nimejieleza msg ndefu sana.. hafu hajanijibu kaikaushia.. imeniuma.. nimedharirisha brand.. naombeni mnisamehe..
Dah sema maisha yanasonga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole mkuu
Nilisema ndio last time.. nimebugiDo you guys still fall in love??, hukusoma Andiko langu la hisia ni mzigo??.
Usi kubali kuyumbushiwa kisa hisia mkuu, sometimes Jitahidi u focus mambo ya msingi.
Nimekula man. Wali + Maziwa hafu nna Fanta hapa inaniangalia..Usi pagawe Sana mkuu, Kama ume kula, familia uliyo toka nayo iko poa ni Jambo la kumshukuru Mungu.
Sometimes tusi wazie Sana tulivyo kosa, Bali tufurahie tulivyo navyo
Naelewa Hali yako, coz nami ni wa huko.
Hilo bomu mzee ππ, citric acid + maziwa πNimekula man. Wali + Maziwa hafu nna Fanta hapa inaniangalia..
Dah sema maisha yanasonga
Huu ushauri mtasikia Mad Max RIP. Bora nichill kwanza.Eeeeh achana nae huyo na utafute pisi kali kumzidi