Wengine ndo sijui sababu ya kuwahi kulala? Yaan usingizi umekata mazima😒Walinzi mmetoroka lindo🙄🙄
Basi baki hapa tupige stori mremboWengine ndo sijui sababu ya kuwahi kulala? Yaan usingizi umekata mazima😒
Yeah nipe story mkuu😃Basi baki hapa tupige stori mrembo
🤣inatakiwa ulale mkuu...unakaaje usiku?Nimekaa hapa kwa masaa 8 pekeyangu sina usingizi nmeshika glass ya whysky nisogeze muda. Maisha ya upweke ni mabaya sana sikis tu.
Poapoa✊🏽How are u doing comrades
🤜🤛Poapoa✊🏽
Hakuna namnà na iwe hivyo Tu kwamba kulala isiwe mazoea kwa kuwa ni usiku Bali kulala iwe Tu kwa kuwa mwili umegoma kuwa machoNimekaa hapa kwa masaa 8 pekeyangu sina usingizi nmeshika glass ya whysky nisogeze muda. Maisha ya upweke ni mabaya sana sikis tu.