01:37 ndio nilimaanisha hivyo....yaani mlinzi wa JFMimi jobless pro max tu mkuu, hayo masuala ya ulinzi labda hapa jukwaani ππ
Halafu USI kariri, Eti kila aliye macho usiku ni Mlinzi.We utakuwa mlinzi kila usiku upo macho,ππ
Pamoja Mkuu Naona Taratibu Taratibu.Kwema kabisa kaka, Huku mambo ni muswano
Mswahili Huyu Mzee Mwenzangu πMad Max Usha kuwa muuza duka ehhπ, maana huonekani lindoni
Jana na leo
Am always hereπ, maybe nilikuwa near ila Huku niona tuIntelligent businessman uko wapi chief?
Pamoja kaka, naona Madame B kapoteaπ€£πPamoja Mkuu Naona Taratibu Taratibu.
Acha Nikapumzike Kaka.
Siku hizi Walinzi hakuna kabisaLindo limepoa