Clarity
JF-Expert Member
- Jul 6, 2010
- 1,828
- 2,637
01:37 ndio nilimaanisha hivyo....yaani mlinzi wa JFMimi jobless pro max tu mkuu, hayo masuala ya ulinzi labda hapa jukwaani 😀😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
01:37 ndio nilimaanisha hivyo....yaani mlinzi wa JFMimi jobless pro max tu mkuu, hayo masuala ya ulinzi labda hapa jukwaani 😀😂
Halafu USI kariri, Eti kila aliye macho usiku ni Mlinzi.We utakuwa mlinzi kila usiku upo macho,😃😁
Pamoja Mkuu Naona Taratibu Taratibu.Kwema kabisa kaka, Huku mambo ni muswano
Mswahili Huyu Mzee Mwenzangu 😂Mad Max Usha kuwa muuza duka ehh😁, maana huonekani lindoni
Jana na leo
Am always here😀, maybe nilikuwa near ila Huku niona tuIntelligent businessman uko wapi chief?
Pamoja kaka, naona Madame B kapotea🤣😂Pamoja Mkuu Naona Taratibu Taratibu.
Acha Nikapumzike Kaka.
Siku hizi Walinzi hakuna kabisaLindo limepoa