Duh poleni sanaaKampuni kabisa ya ulinzi tumaiajiri, sasa sijui na hizi mvua walinzi walienda kujificha? Au ndio hivyo tena usiku wa manane walilala
Kaka ๐๐ ๐๐๐๐๐
Zee Lina sinzia ka konokono๐๐คMajukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Zee Lina sinzia ka konokono๐๐ค, ngoja tuone Leo๐Majukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Leo tutakua wote๐Zee Lina sinzia ka konokono๐๐ค, ngoja tuone Leo๐
๐๐๐Aah bado upo hai mzee๐Kaka ๐๐ ๐๐๐๐๐
Story ndefu kamanda.. acha tu.. ila tulikua lindo la Chaka
MvuA hizi kaka zinafanya nisiwe mlinzi naishia kuhudumia mtoto wa mtu usiku kucha kaka ๐๐๐๐๐Aah bado upo hai mzee๐
Ko uli ingia viwanja ??, kitambaa au Juliana??Story ndefu kamanda.. acha tu.. ila tulikua lindo la Chaka
Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.Ko uli ingia viwanja ??, kitambaa au Juliana??
Hisia ni mzigo mbaya Kwa kijana, huu Uzi nili uandika Mmu.Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.
Hili baridi limenifanya nashindwa kukesha hapa Mkuu๐๐Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.
Yaani bora ushinde hapa mzee.Hili baridi limenifanya nashindwa kukesha hapa Mkuu๐๐
Nipo hapa kila nikiowaona mafundi seremala nahisi wananiandalia mimi jeneza.Hisia ni mzigo mbaya Kwa kijana, huu Uzi nili uandika Mmu.
Ila hii kauli utakuwaa Usha uza mechi wee๐๐.
Ngono SI salama, Mimi kuliko kwenda kiwanja Bora nipike au niende restaurants nikale msosi mzuri.
Kisa nini ๐ค??Nipo hapa kila nikiowaona mafundi seremala nahisi wananiandalia mimi jeneza.
๐๐๐Kaka mkamwacha Intelligent businessman kalalamika usiku kucha๐คฃMvuA hizi kaka zinafanya nisiwe mlinzi naishia kuhudumia mtoto wa mtu usiku kucha kaka ๐๐
Sija lalamika, coz Mimi ni Mlinzi ieshinla mtu 1.๐๐๐Kaka mkamwacha Intelligent businessman kalalamika usiku kucha๐คฃ
Umewaza nini chiefDunia ingekua na option kama simu, unaamua uweke dark mode wewe kwako masaa 24 ni giza tu.