JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Dah hii baridi kidogo unaweza uza mechi. Nachoweza washauri vijana, kabla ya kutoka out, wafikirie ndugu zako, wazazi na wadogo zako kwanza. Asanteni.
Hisia ni mzigo mbaya Kwa kijana, huu Uzi nili uandika Mmu.
Ila hii kauli utakuwaa Usha uza mechi wee😁😁.

Ngono SI salama, Mimi kuliko kwenda kiwanja Bora nipike au niende restaurants nikale msosi mzuri.
 
Back
Top Bottom