JamiiForums Usiku wa manane

Me mwenyewe nipo nakula k vant hapa,liwalo na liweee.karibuni

Nimepamiss home Mbeya mama John Ilomba huko.

Sasa nipo Nanjilinji huku nalima mihogo daaah!
Safi sana.
Kilimo ndo uti wa mgongo mwaya.
Kvat inatoa mawazo yote.
Sema nini, kvant za sahv mbona kama hazinileweshi?
Ina maana nimekuwa mlevi au?
Naweza piga muwa mkubwa mzima woman alone!! na nikaenda home fresh tu.
 
Na ninapenda kulala pekeyangu sikuzote...nikilala na mtu hatulali Kabisa..,hajaja kulala πŸ€’ hapa kazi tu😎
Uchira 1 unamsikia To yeye ?
Mie nikilewa ndio sipendi mahangaiko, nalalaga zangu kwenye kochi, bwana alale mwenyewe kitandani.
Mabwana zetu wenyewe wa kiarabu si unawajua....🍹🀭🍹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…