JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

1:15 AM When you need that fix, yeah, that medicine
I know you like it like this
When you get that itch, adrenaline
Heart beating outta your chest
Heart beating outta yo chest
 
Kama mtu aliweza kutengeneza Tochi na Taa vikatoa mwanga, kwenye giza pakawa peupe.. kwann asitokee mwamba akatengeza tochi ambayo yenyewe ikimulika inatoa giza mchana.
 
NaPark Msamvu kidogo kupumzisha Mzigo Kichwa... wa Moro leteni location ya kiwanja kzr
Nenda Star Park inajaza kila siku..

2507E5ED-4671-4474-B41A-AE206108D87B.jpeg
 
Back
Top Bottom