Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Mkuu umetumia lugha ngumu kidogo mimi na la saba yangu anti tank nitaijulia wapi?Kitendo Cha Mimi kurudisha anti tank, na una jua ma pilot wa f35 hatuna.
Ni sawa na kuuza Uhuru na amani yetu, so lazima uvunjwe Taya kwa mifupa wa tembo😆😆