Mkuu umetumia lugha ngumu kidogo mimi na la saba yangu anti tank nitaijulia wapi?Kitendo Cha Mimi kurudisha anti tank, na una jua ma pilot wa f35 hatuna.
Ni sawa na kuuza Uhuru na amani yetu, so lazima uvunjwe Taya kwa mifupa wa tembo๐๐
SijuiYap men, una jua most resilient parasite ni ipi??
A most resilient parasite ni idea, once it's hooked into the brain. Ni ngumu kuwa eradicated.Sijui
Ashukuriwe mama sasa na wakati ujao
Na nyie mafogo mnaomsapotiAshukuriwe mama sasa wakati ujao
Ni sahihi Sanaa ๐๐A most resilient parasite ni idea, once it's hooked into the brain. Ni ngumu kuwa eradicated.
So just be normal, don't over react mzee.
hahaha, Bora we saba, mi hata la chekechea sija soma mzee.Mkuu umetumia lugha ngumu kidogo mimi na la saba yangu anti tank nitaijulia wapi?
Ndo wakati wetu kabla ya nyakati kama za yule ngoshaNa nyie mafogo mnaomsapoti
Hiyo ni my own theory, andika project tuwasilishe Nionekane forbes๐๐Ni sahihi Sanaa ๐๐
Shukrani sana mkuu kwa elimuhahaha, Bora we saba, mi hata la chekechea sija soma mzee.
Anti tank - silaha zinazo tumika kuzuia au kuharibu vifaru.
F35 ndege za kivita mkuu, mi Hata chalk sijui ๐๐
Naam tajiri, shikamooNdo wakati wetu kabla ya nyakati kama za yule ngosha
Elimu ipi Sasa๐๐Shukrani sana mkuu kwa elimu
Elimu ya vifaruElimu ipi Sasa๐๐
Yu nasi nyakati zoteMungu ni mwema sana
Vifaru vya nyanya ehh๐๐Elimu ya vifaru
Vya majirani KEVifaru vya nyanya ehh๐๐