JamiiForums Usiku wa manane

Tafuta mwanamke mnayeendana mjenge familia achana na wale jamaa wa kataa ndoa
Mzee Sina mpango wa kuoa, sio Leo sio kesho😁😁😆.

Naam una taka Niki ache cheo Cha u katibu mwenezi wa kataa ndoa, hell no🤣😂😁.

Halafu kana ni binti wa kuoa, am being pressured kwa kiasi Kikubwa, Hadi Picha Niki oneshwa za mabinti, but ain't interested tu.
 
Familia bora inajengwa na wazazi wote wawili kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…