Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?Nani huyo Tena?yule mzee anayezeeka vibaya?Apuuziwe😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?Nani huyo Tena?yule mzee anayezeeka vibaya?Apuuziwe😂
🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitakaHahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?
Hahahahaha...hapana mie aina yabwazee unaowataka siwajui...hayo majimbo ya mjini si ndio mazuri mnasemaga🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitaka
Ngoja nilewe nitakuambia aina ya wazee wangu😆😆😆Majimbo ya mjini hapana Yana vurugu sana,Bora utafute Jimbo tulivu ujipumzikieHahahahaha...hapana mie aina yabwazee unaowataka siwajui...hayo majimbo ya mjini si ndio mazuri mnasemaga
Hahahahaha...kumbe mpk ulewe doh hii kali..hao wazee kazi wanayoNgoja nilewe nitakuambia aina ya wazee wangu😆😆😆Majimbo ya mjini hapana Yana vurugu sana,Bora utafute Jimbo tulivu ujipumzikie
Haya tuka mshukuru mganga wetu😂🤣Hakika ni jambo la kujivunia,
🤣🤣Naomba number yake maana mie niliyetaja kanichinjia bahariniHaya tuka mshukuru mganga wetu😂🤣
Hahahahaha🤣🤣Naomba number yake maana mie niliyetaja kanichinjia baharini
Hahahahaha...safi sanaHaya tuka mshukuru mganga wetu😂🤣
🤣🤣Hahahahaha
Hapo ndipo unapo kosea, Mr Dell siwezi onyesha ninapo patiaga ugali😂🤣🤣🤣Naomba number yake maana mie niliyetaja kanichinjia baharini
Tatizo wazee wajeuri sana,Sasa Ili uwaambie inabidi ulewe kwanza kama harmonizeHahahahaha...kumbe mpk ulewe doh hii kali..hao wazee kazi wanayo
🤣🤣🤣🤣Acha uchoyo Hadi wa dhambi!huko motoni unataka bounce aloneHapo ndipo unapo kosea, Mr Dell siwezi onyesha ninapo patiaga ugali😂🤣
Mwisho wa siku, mka jue Siri za kambi🤣🤓.🤣🤣🤣🤣Acha uchoyo Hadi wa dhambi!huko motoni unataka bounce alone
Hahahahaha dah..kazi wanayo wazee wenzanguTatizo wazee wajeuri sana,Sasa Ili uwaambie inabidi ulewe kwanza kama harmonize
Kupendwa Raha eeeh🤣🤣🤣?Sasa unaurudishaje upendo uliopewa?Mwisho wa siku, mka jue Siri za kambi🤣🤓.
Sema I feel good, na Nili shangaa Sana.
Wajiandae kisaikolojia😜Hahahahaha dah..kazi wanayo wazee wenzangu
Hi too baby