JamiiForums Usiku wa manane

Hahahahaha..sio vzr ..mie najua mko wote na mko vzr au kuna mwingine..huyu niliyekukuta nae huku ?
🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitaka
 
🤣🤣Mi wazee wehu nawataka?Mimi Kuna aina flan ya wazee ndio nawataka we mwenyewe unajua😄😄Huyu wa huku namuweza wapi Jimbo utasema la ilala Kila mgombea analitaka
Hahahahaha...hapana mie aina yabwazee unaowataka siwajui...hayo majimbo ya mjini si ndio mazuri mnasemaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…