financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Hatari naona mvua imeunga bando la mwaka mzima non stop😀😀Nimeamka poa kabisa...tunaingia ktk mishe sasa ingawa hali ya hewa ya kwetu sio poa kbs
Hahahahaha...tena zile bando za promotionHatari naona mvua imeunga bando la mwaka mzima non stop😀😀
Sawa sawaLeo lindo litaongozwa na maafande wa kike, store italindwa na vijana walioingia leo