JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

12:19 AM Ila vidada vyeusi ukivikuta ety black iz expensive 😂😂mara wonderful hakun bhna ww ni mpokii😂😂😂

No Kuna kimoja humu kifupiii tiiii na kina matege hakana adabu hicho kana wivu
Aikoooooo dada shotii cheusi mangala usimtunuku kabisa huyu bazazi na Kei, naona dalili za awali kuikuta papuchi yako imesambazwa humu jukwaani kabisa kama kule mashenzini😂😂😂😂😂😂 #Savethechildren
 
Hii naijua 😂, ila taratibu 😁
Kaka kwema 😁🤣
20240424_231455.jpg
 
Sikua na wazo kabisa, kuwa kesho ni sikukuu ya muungano.
Ghafla my last Sibling ana piga Simu, kesho uje nyumbani Eti!

Huyu mtu ni mtu ninae mpenda na kumkubali kuliko kitu kingine, so kesho ni family dinner and party.

So aliye karibu asogee wadau, tupige story na tupate mlo safi.
I mean no malice to nobody.
 
Back
Top Bottom