Hakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..Kai wa kupiga goli 2 kweli π€£ π
Oya zile game 4 arteta ashinde Sasaπ€£πHakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..
Wengine sisi wachawi ujue πKwa nini tunakosa usingizi? Kwa sababu tunawaza mambo makubwa yanayozidi uwezo wetu.
Kwa hiyo usiku ndio muda wa kaziWengine sisi wachawi ujue π
Atakuwa anatetea ndoaMzee Grahams amka usali wewe
Uchawi sio kazi, hicho ni kipaji πKwa hiyo usiku ndio muda wa kazi
Nasikia Saudi arabia/Oman huwa wanafanya kazi usiku kutokana na utulivu wa jua kali; mchana wanalala ila usiku ni muda wa kaziUchawi sio kazi, hicho ni kipaji π
Za kusikia, ongeza na zako, USI amini kwa kuambiwa, vizuri uone kwa macho.Nasikia Saudi arabia/Oman huwa wanafanya kazi usiku kutokana na utulivu wa jua kali; mchana wanalala ila usiku ni muda wa kazi
Muhimu kufanyia utafitiZa kusikia, ongeza na zako
Wana zuoni Wana sema, USI amini kwa kuambiwa, vizuri uone kwa machoMuhimu kufanyia utafiti