Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..Kai wa kupiga goli 2 kweli 🤣 😆
Oya zile game 4 arteta ashinde Sasa🤣😆Hakuna ng'ombe asiyofaa, asipokufaa kwa maziwa, atakufaa kwa nyama,..
Wengine sisi wachawi ujue 😆Kwa nini tunakosa usingizi? Kwa sababu tunawaza mambo makubwa yanayozidi uwezo wetu.
Kwa hiyo usiku ndio muda wa kaziWengine sisi wachawi ujue 😆
Atakuwa anatetea ndoaMzee Grahams amka usali wewe
Uchawi sio kazi, hicho ni kipaji 😃Kwa hiyo usiku ndio muda wa kazi
Nasikia Saudi arabia/Oman huwa wanafanya kazi usiku kutokana na utulivu wa jua kali; mchana wanalala ila usiku ni muda wa kaziUchawi sio kazi, hicho ni kipaji 😃
Za kusikia, ongeza na zako, USI amini kwa kuambiwa, vizuri uone kwa macho.Nasikia Saudi arabia/Oman huwa wanafanya kazi usiku kutokana na utulivu wa jua kali; mchana wanalala ila usiku ni muda wa kazi
Muhimu kufanyia utafitiZa kusikia, ongeza na zako
Wana zuoni Wana sema, USI amini kwa kuambiwa, vizuri uone kwa machoMuhimu kufanyia utafiti