JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Acha uhuni mzee😁, zama hizi sio za kuinama kidhembe 🤣
Vijana mna mambo 😅🙌

Mwaka 47 tukiwa tunajifunza Methali na Nahau

Tulikuwa tunasoma na Mhindi mmoja, alipoulizwa na Mwalimu hiyo methali ya Mtaka cha Uvunguni ......jamaa akajibu sharti unyanyue Kitanda 🙌

Ingekuwa miaka yenu hii ningesema lile jibu alitoa Intelligent businessman mwenye uraia wa Bombay 😅
 
Mzee nime cheka Sana 😁, Jamaa Ali ona mbali Sana, 🤣.
Wahuni sio watu kabisa😂😂
 
Back
Top Bottom