JamiiForums Usiku wa manane

Acha uhuni mzee😁, zama hizi sio za kuinama kidhembe 🀣
Vijana mna mambo πŸ˜…πŸ™Œ

Mwaka 47 tukiwa tunajifunza Methali na Nahau

Tulikuwa tunasoma na Mhindi mmoja, alipoulizwa na Mwalimu hiyo methali ya Mtaka cha Uvunguni ......jamaa akajibu sharti unyanyue Kitanda πŸ™Œ

Ingekuwa miaka yenu hii ningesema lile jibu alitoa Intelligent businessman mwenye uraia wa Bombay πŸ˜…
 
Mzee nime cheka Sana 😁, Jamaa Ali ona mbali Sana, 🀣.
Wahuni sio watu kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…