mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Nani kakuambia mi mchaga?Wachaga wakijua unajiita mshamba utanyimwa kila kitu hadi kisusio
mbona umekuja bila kugonga hodi shabiki lialia wa simba sc00:12
rudisha ile avatar ya mwanzo nimeshindwa kukujua00:12
Nigonge hodi home kweaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbona umekuja bila kugonga hodi shabiki lialia wa simba sc
Ipii hiyoo?rudisha ile avatar ya mwanzo nimeshindwa kukujua
ya mwanzo ileeeeeIpii hiyoo?
Mie nawekaga nyingi, ko sema ya mdoli au picha ya mtu.ya mwanzo ileeeee
kumbeeeee haya karibu kwenye kazi ya ulinziNigonge hodi home kweaaa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyejii hapa.
picha ya ntu ileee yaani ulivyokuja nikasema huyu nani kumbe wewe mtoto wa kingoni cocaMie nawekaga nyingi, ko sema ya mdoli au picha ya mtu.
Nimestaafu, sema crew yetu wote tumesepaa humu!!kumbeeeee haya karibu kwenye kazi ya ulinzi
Ngoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]picha ya ntu ileee yaani ulivyokuja nikasema huyu nani kumbe wewe mtoto wa kingoni coca
kumbeee msalimie sana LamomyNimestaafu, sema crew yetu wote tumesepaa humu!!
Wamebaki wachache, kilikua kinawaka balaaa. Those days.
hako kamdoli kazuri sanaNgoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23] ni mdoli au picha hii? Km animation au sielewiii?hako kamdoli kazuri sana