Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
yeah mtoto wa kingoni hii uliyoweka ndio tamu sana yaani nzuri mnooNgoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yeah mtoto wa kingoni hii uliyoweka ndio tamu sana yaani nzuri mnooNgoja niweke hii fevas, yaan hii ndo komesha, ntabadilisha zote ila hii ni [emoji91][emoji91]
ni animation hii[emoji23][emoji23][emoji23] ni mdoli au picha hii? Km animation au sielewiii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtani, Una mbambamba sana.yeah mtoto wa kingoni hii uliyoweka ndio tamu sana yaani nzuri mnoo
Eeh hata mie nilikua naona ni animation vile.ni animation hii
neema za mungu hizi mtoto wa kingoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mtani, Una mbambamba sana.
Unaandikaga kichagaNani kakuambia mi mchaga?
Wachaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]neema za mungu hizi mtoto wa kingoni
Nokesuko.Unaandikaga kichaga
mungu fundiiii sanaWachaa wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mungu fundiiii sana
kuna site nataka ukailipueHizo sizielewi kwanza zinachosha ingawa zipo fasta
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu
Amkeni mfanye Ibada JAMANINimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
hizi dharau sasa wakuu! Diplomasia imefeli?kuna site nataka ukailipue
Huko kwao rombo, wanaume wanakunywa pombe mpaka wanashindwa kudinda....Mwenyewe shwain
Hope urassa kwenu hakuna wakubwa
Oh basi jilegeze, nikubebe mgongoni (iyelewi)Sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Panda boda Rudi nyumbani, uki shindwa Waambie you're on budget.Aisee kuna kiwanj npo hapa had mda huu nkachukulia poa J3 haina mambo meng daahhh nmekutana na pisi hzo balaaa na zote znantolea macho sjui nakwepaje huu mtego aisee[emoji27]
nataka uupige mwingi kama evelyn wa kwenye movie ya salthizi dharau sasa wakuu! Diplomasia imefeli?