Wacha wee!! [emoji23][emoji23][emoji23]Mchana huuu lazima tupunguze hamu
Duh12:54 PM umbea na kufatana inbox sio kitu kizuri ndugu yangu sms zenu zinachekesha sana ππ€£πππππ
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
sasa hivi tunatakiwa tuandike maneno mengi sa itakuwajeWakubwa leo msidoji lindoni tujitahidi tuwe active wananchi tuna jambo letu
Me nimejua ni kwangu tu kumbe ni kwa watu wote? Minimum maneno 50sasa hivi tunatakiwa tuandike maneno mengi sa itakuwaje
itakuwaje itakuwaje