Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Haya uko macho Sasa ๐Nina kazi ya muhimu kulala labda saa 11 alfajiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya uko macho Sasa ๐Nina kazi ya muhimu kulala labda saa 11 alfajiri
Nipo machoHaya uko macho Sasa ๐
Jiunge na wachawi tu๐Nipo macho
Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa mileleJiunge na wachawi tu๐
Shida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoni๐๐คฃSiwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa milele
Mtawatambua kwa matendo yaoShida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoni๐๐คฃ
Haya baadae๐, Nika oge Sasa.Mtawatambua kwa matendo yao
Kumbe upo dojaa?Maingate hapa sihitaji kusikia kelele
Makelele hayaruhusiwi sameeeKumbe upo dojaa?
Nasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?Makelele hayaruhusiwi sameee
Wangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zao๐๐๐Nasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?
Acha waje... watakutana na hiki kimbunga njianiWangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zao๐๐๐
๐๐๐๐Acha waje... watakutana na hiki kimbunga njiani
๐ ๐ ๐We shall see ๐, ume sahau Mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa ๐๐ค
Sinunui utapeli mimiIntelligent businessman katunga kitabu:
"JINSI YA KUPATA USINGIZI NA KULALA MAPEMA"
utanunua au utapeli?