Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Haya uko macho Sasa πNina kazi ya muhimu kulala labda saa 11 alfajiri
Nipo machoHaya uko macho Sasa π
Jiunge na wachawi tuπNipo macho
Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa mileleJiunge na wachawi tuπ
Shida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoniππ€£Siwezi! Nataka kuingia Mbinguni nipate uzima wa milele
Mtawatambua kwa matendo yaoShida kila mmoja ana jifanya good lad, nani Sasa ana taka Ingia motoniππ€£
Haya baadaeπ, Nika oge Sasa.Mtawatambua kwa matendo yao
Kumbe upo dojaa?Maingate hapa sihitaji kusikia kelele
Makelele hayaruhusiwi sameeeKumbe upo dojaa?
Nasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?Makelele hayaruhusiwi sameee
Wangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zaoπππNasikia ulilala lindoni. Vipi silaha hujaibiwa?
Acha waje... watakutana na hiki kimbunga njianiWangeiba msingekua mmelala mpaka sa hii, nasikia wanakuja watu wenye rasta na kanzu zaoπππ
ππππAcha waje... watakutana na hiki kimbunga njiani
π π πWe shall see π, ume sahau Mimi ni katibu mwenezi wa kataa ndoa ππ€
Sinunui utapeli mimiIntelligent businessman katunga kitabu:
"JINSI YA KUPATA USINGIZI NA KULALA MAPEMA"
utanunua au utapeli?