Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Dah angevuruga vby mno bora kapita hukoAliamua akate kona baada ya kuona vijana wa Dar hamujamkaribisha ipasavyo. Angekatiza juu ya ardhi tokea pwani ya Kijichi kuja kuibukia Mbezi beach tuone hivyo vijengo vya katikati hapo vingestahimili rabsha ya bi Hidaya?🤣🤣
Niko poa sanaa🤝Salama mpenz…uko poa lakini?
Bado nimelala…wafanya nini cute?Niko poa sanaa🤝
Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to homeBado nimelala…wafanya nini cute?
Umetusalia sie wakosefuNdio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Ubarikiwe sana cute….ibada ni kitu chema japo leo mie siendi..:.nitajiegesha sana hapa kwa bed leo🥴Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Wote..umeamkaje mpendwa?Umetusalia sie wakosefu
Amina .Waumwa au uchovu tu?Ubarikiwe sana cute….ibada ni kitu chema japo leo mie siendi..:.nitajiegesha sana hapa kwa bed leo🥴
Nimeamka poa kbsWote..umeamkaje mpendwa?
Ni Jambo la kheri🤝Nimeamka poa kbs
Nilikuwa naumwa sasa nipo poa….nalipizia yale maangaiko😊Waumwa au uchovu tu?
Pole sana mpendwa🤝hakika Mungu ni mwema kama upo poa ...Nilikuwa naumwa sasa nipo poa….nalipizia yale maangaiko😊
Wengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Amina….karibu mbeya cutePole
Pole sana mpendwa🤝hakika Mungu ni mwema kama upo poa ...
Ndiyo maisha mkuuWengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲
Hapa umenisema na mimi...nimeingia ndani saa tisa na nusu...now niko kwa mangi nazimuaWengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲