Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hatare sana....balaa sana pale majuzi nilishikilia bomba kwenye daladala watu tumejaaa weeengiii hadi makumbusho hiyooo nusu nifeee niltoka kigamboni nikaingia mbagala nikaingia makumbusho nilikoma sana
Nilikuwa kwa boda aisee maana dahUpo kwa boda ππ
Bado hamsikiagi kuhusu boda ππππππNilikuwa kwa boda aisee maana dah
Sasa tupande nini tusio na magari?Bado hamsikiagi kuhusu boda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bajaji ety ππππSasa tupande nini tusio na magari?
Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.Bajaji ety [emoji119][emoji119][emoji119][emoji23]
Boda ni hatareee kwa afya plz..Hapo angalau umenena. Haya tutakua tunapanda vibajaji.
[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.Boda ni hatareee kwa afya plz..
Bado tunakuhitaji huku wana jf sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Saaafiiiiii nimefarijika kusikia hivo ππππππππ[emoji23] sawa rafiki nimesikia,nitaacha.
Since 2023 unamnanga kijana wa watuHivi kwa nn ulimtosaga hiyo afu tatu aliyokuomba?π
π€£π€£ππ unajua hata ukipata ajali utasema siipandi tanaa ila ukishapona tuu kama kawaa.Bado hamsikiagi kuhusu boda ππππππ