Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Hatare sana....balaa sana pale majuzi nilishikilia bomba kwenye daladala watu tumejaaa weeengiii hadi makumbusho hiyooo nusu nifeee niltoka kigamboni nikaingia mbagala nikaingia makumbusho nilikoma sana