wiz ana kichafua tweeter ππNgoja nilale.. Walinzi wa jf, endeleeni na lindo
Unaoa kweli au unataka tu ule michango yetuJapo Mimi ni katibu mwenezi, Nita oa mwisho wa Mwaka huu.
Kaka Vishu Mtata kani shauri Sana, π
Kivipi boss, hapa nacomment na jicho moja limefumbawiz ana kichafua tweeter ππ
si album yake Ina karibia, so ana wadiss kina davido na don jazzy ili a trend.Kivipi boss, hapa nacomment na jicho moja limefumba
Hatu hitaji hata 1lsenti yako, Kikubwa ibuka kwenye sherekhe kakaππ.Unaoa kweli au unataka tu ule michango yetu
Hapo nimeelewa kwa nini alimdiss obo. Kama anaachia album, aachie in peace tu japo kachangamsha wapoposi album yake Ina karibia, so ana wadiss kina davido na don jazzy ili a trend.
Sasa ni vituko hatariπππ
Ni mwezi wa ngapi na wapi?Hatu hitaji hata 1lsenti yako, Kikubwa ibuka kwenye sherekhe kakaππ.
Natamani ndugu yangu Shadow7 awepo pia kharusini.
yeap, hawa wajinga Wana I promote kijanja.Hapo nimeelewa kwa nini alimdiss obo. Kama anaachia album, aachie in peace tu japo kachangamsha wapopo
Nahisi ita kuwa mwishoni mwa Mwaka kaka, and guess what ana julikana ππNi mwezi wa ngapi na wapi?
Anajulikana humu?Nahisi ita kuwa mwishoni mwa Mwaka kaka, and guess what ana julikana ππ
ππ ngoja niingie x nikaone.. Ila wizzy mtoto wa street Ila ana ego kama kakulia banana islandsyeap, hawa wajinga Wana I promote kijanja.
Yaani wizzy waku muita don jazzy influencer?π
Kaka elewa mwishoni mwa Mwaka, and it will be a big pleasure kwa marafiki zangu kuwa hapo.Anajulikana humu?
ana kuambia hatoi Nyimbo, mpaka mumu ombe Kama obo alivyo kuwa ana omba k ππππ ngoja niingie x nikaone.. Ila wizzy mtoto wa street Ila ana ego kama kakulia banana islands
Niliona hii π.. Hana akili, sisi kama fans wa obo, tumeikataa album kabla haijatokaana kuambia hatoi Nyimbo, mpaka mumu ombe Kama obo alivyo kuwa ana omba k ππ
Oya hii album wali mnyima Grammy obo, nasubiri video ya hii.Niliona hii π.. Hana akili, sisi kama fans wa obo, tumeikataa album kabla haijatoka
Oya hii album wali mnyima Grammy obo, nasubiri video ya hii.
View attachment 2986222
Obo wali mfanyia fitina tu, tyla shughuli yake ime ishia hapo.Dunia inawaangalia Burna & Tems &Tyla.. Wengine tusubiri labsa Wizzy akipata, hot collabo nyingine anaweza pata grammy Ila kwa obo tusubiri