JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

9:23 AM habari za asubuhi Sikia kaka Nina taka movie Mimi nipo dar wewe upo huko nakuletea vip ooh naituma kwa bus nikutumie telegram oooh sinaa bando sasa unataka Nini kazi kaka sina kazi Mimi nipe kazi huko dar es salaam
 
Hapana wewe sasa ndo nimekushika unawaza uzinzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaah mupo wawili mana yake kwa mwili wako mpo wawili... Wewe na katoto..
Wewe mama kijaa..
Au wewe paula....

Hakuna matata πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
atakam m n sna akili iz za kwendea choon zunanisaidiaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ–πŸΎ kwenda
 
atakam m n sna akili iz za kwendea choon zunanisaidiaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ–πŸΎ kwenda
Haya weeknd hii fanya ukuje basi...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Alafu nilisahau kukuambia bana...

Nimenunua smart watch πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ ukija utaangalia Arise and shine
 
Back
Top Bottom