Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
OohObo wali mfanyia fitina tu, tyla shughuli yake ime ishia hapo.
Album yake ni flop tayari, Ali cancel show watu hakuna.
Davido kasema deluxe edition ya timeless, Ina kuja soon.
Sawa tajiri tuombe uzima na kila la heri kataa ndoa wasijeingilia kati kuvuruga mipango.Kaka elewa mwishoni mwa Mwaka, and it will be a big pleasure kwa marafiki zangu kuwa hapo.
ThawaaaAsanfe
Kiufupi ni mbagala nzima aiseee..Bosi wa Chamazi nzima hadi mmbande mixer hadi chanika Poor Brain
Naunga mkono hoja bosi wangu hapo mitaaa ya mbagala Iko fresh sana yaani apo mmbande Kuna shangazi yangu anaishi kakaKiufupi ni mbagala nzima aiseee..
Born kizuiani hospital
Chekechea charambe mianzini
Primary Majimatitu
Secondary Mbande
Advanced Chamazi Islamic
Collage Amazon collage Rangi tatu
Kwa sasa nipo Majimatitu...
Mkuuu yaani naweza sema kuwa ni raisi wa mbagala kutambo VETA
Wasalimie sana mwanzaPoa kaka vin.
Usijali salamu zimefika Mjini hadi vijijini.Wasalimie sana mwanza
Ok kukiwa na mtu anakusumbua hapa uniambie ni Dili nae huyo mtu π€£πππUsijali salamu zimefika Mjini hadi vijijini.
Ok kukiwa na mtu anakusumbua hapa uniambie ni Dili nae huyo mtu π€£πππ