Mzee wa yoga mda tayari nn??π§πΏββοΈ
Tumejikongoja kumfukuzia na tujiweπ«€Poleni sana usalama wa vitu upo au ndio amesharudisha nyuma maendeleo?
Na half amerikan anakula kona ya wapi saa hii??Em tulia ndani bhanaβ¦..usiku sana sahizi
KumekuchaMzee wa yoga mda tayari nn??
Niambie muujiza gani unataka kuionyesha jf saa ii??Kumekucha
Ushajilaza kama ulivyosema au???Em tulia ndani bhanaβ¦..usiku sana sahizi
poleni kwa changamoto hiyo wakuu.Tumejikongoja kumfukuzia na tujiweπ«€
Mimi bado sana kulala nilikuwa napita huko mjini instagram nione yaliyojiri baada ya internet kuzingua.Usilale kaka nami nlikua napasha tu tuendelee na stori kakaππππ
π sema unajua kupangilia mkuu, supu 2 moja yangu na nyingine ya To yeye wangu muzuri.We jamaa inabidi kesho ununue supu 2 kwa To yeye maana... mtafika usubui kwa staili hii?? mwonee huruma mwenzio
Hakuna namna na maisha lazima yaendeleeπ€£π€£π€£sadβ¦..unajikuta tu unaruka majivu unakanyaga motoβ¦..ila ndo maisha na maisha ni kupanga kuchaguaπ₯΄
Mimi nipo mkuu sina hata tone la usingizi.We si umekimbia nlikua nakupigia debe ukalala?? Sema ashaelewa mkuu
Lete manenoMimi nipo mkuu sina hata tone la usingizi.
πNiambie muujiza gani unataka kuionyesha jf saa ii??
Mwana mpotevyuuππ....
Akuuuπ€ͺπ€ͺMwana mpotevyuu