JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jamani leo nimelala na mtoto wangu, analala vibaya sana. Hivi huu ni ugonjwa?
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
2:16 Sina usingizi umeme umekata mbaya zaidi niko sober.
 
 
Back
Top Bottom