Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibu🫣Woiiii hata naelewa basi
Hujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopo🤣🤣🤣🤣Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibu🫣
£7-10 kwa gram mojaEurope inaenda Kwa £ ngapi
Sigara bwege haichanganyi akili.
Au ninyi ndio mnaita bangi sigara bwege na sio nyota ndio sigara bwege?
Kama mwehu ni mwehu tu.😁Hujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopo🤣🤣🤣🤣
Stage za uwehu zimegawanywaKama mwehu ni mwehu tu.😁
Wanasema "Wavuta bangi ni watu smart kuanzia mentally,physically na hata appearance zao" Hawa akina dullah sjui sele ndo vichaa na wahuniKama mwehu ni mwehu tu.😁
Niunganishe kwanza, hichi kichwa kimechoka bwanaStage za uwehu zimegawanywa
Kuna uwehu ukifikia wewe sio Makopo tena bali na nnyaa ni chakula chako
Wee sio ikae kichwani Miaka 7. 😪Wanasema "Wavuta bangi ni watu smart kuanzia mentally,physically na hata appearance zao" Hawa akina dullah sjui sele ndo vichaa na wahuni
Unataka uanze kunyongorotoa 😅Niunganishe kwanza, hichi kichwa kimechoka bwana
Kummake£7-10 kwa gram moja
Ndioo Kuna kaka anakujaga macho yamemlegea anasema ametoka kingston namuoneaga wivu.. nataka nimkomeshe na Mimi😂😂😂Unataka uanze kunyongorotoa 😅
Mimi hutumia nikihitaji utulivu wa nafsi na sio kama ulevi ama starehe...Wee sio ikae kichwani Miaka 7. 😪
Mkuu hawawezi kukuambia direct acha bangi😂😂😂Kummake
Nataka huo utulivu na Mimi .Mimi hutumia nikihitaji utulivu wa nafsi na sio kama ulevi ama starehe...
😭😭 kila tunapo sahau huu msiba mnatukumbusha tena. Hakika JLW lilikua ni jukwaa pendwa la watuWakuu hivi jukwaa la Mambo yetu Yale lilishaga futwa nn mbona sioni dalili,muda kidogo sijawa huku