Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibuš«£Woiiii hata naelewa basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibuš«£Woiiii hata naelewa basi
Hujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopoš¤£š¤£š¤£š¤£Mwambie nataka nijifunze kuvinyonganyonga hivo. Mi naona aibuš«£
£7-10 kwa gram mojaEurope inaenda Kwa £ ngapi
Sigara bwege haichanganyi akili.
Au ninyi ndio mnaita bangi sigara bwege na sio nyota ndio sigara bwege?
Kama mwehu ni mwehu tu.šHujaona mtu juu kasema unaweza kuwehuka , nani anataka kuokota Makopoš¤£š¤£š¤£š¤£
Stage za uwehu zimegawanywaKama mwehu ni mwehu tu.š
Wanasema "Wavuta bangi ni watu smart kuanzia mentally,physically na hata appearance zao" Hawa akina dullah sjui sele ndo vichaa na wahuniKama mwehu ni mwehu tu.š
Niunganishe kwanza, hichi kichwa kimechoka bwanaStage za uwehu zimegawanywa
Kuna uwehu ukifikia wewe sio Makopo tena bali na nnyaa ni chakula chako
Wee sio ikae kichwani Miaka 7. šŖWanasema "Wavuta bangi ni watu smart kuanzia mentally,physically na hata appearance zao" Hawa akina dullah sjui sele ndo vichaa na wahuni
Unataka uanze kunyongorotoa šNiunganishe kwanza, hichi kichwa kimechoka bwana
Kummake£7-10 kwa gram moja
Ndioo Kuna kaka anakujaga macho yamemlegea anasema ametoka kingston namuoneaga wivu.. nataka nimkomeshe na MimišššUnataka uanze kunyongorotoa š
Mimi hutumia nikihitaji utulivu wa nafsi na sio kama ulevi ama starehe...Wee sio ikae kichwani Miaka 7. šŖ
Mkuu hawawezi kukuambia direct acha bangišššKummake
Nataka huo utulivu na Mimi .Mimi hutumia nikihitaji utulivu wa nafsi na sio kama ulevi ama starehe...
šš kila tunapo sahau huu msiba mnatukumbusha tena. Hakika JLW lilikua ni jukwaa pendwa la watuWakuu hivi jukwaa la Mambo yetu Yale lilishaga futwa nn mbona sioni dalili,muda kidogo sijawa huku