karibuHello jf mamboz na mawazo nani wakunipa ushirikiano
Pamoja,one lovetupo good tu
Karibu dmHello jf mamboz na mawazo nani wakunipa ushirikiano
Tupo liveπππHajambo wazee wa lindo ππ
Afadhali kijiwe hakijafa,zamani hapa ilikuwa home sweet home,sema uzee saizi πTupo liveπππ
Watu wamekimbia hiki kijiweπππAfadhali kijiwe hakijafa,zamani hapa ilikuwa home sweet home,sema uzee saizi π
Majukumu yakiongezeka inakuwa ngumu kumaintain kufika kijiweniWatu wamekimbia hiki kijiweπππ
kuna mwamba mmoja sikumbuki ID yake fresh ila kwenye avatar yupo jamaa flan hivi black na shati kama la chama tawala alikuwa mdau sana hapa
ππ Nakupitishia hapo repellantsMwenye Dawa ya Mbu ya kidonge awasheView attachment 3033886 Mbu ni wengi sana lindoni leo.
Itapendeza tuwauwe kabisa sio walewe tulinde kwa Amaniππ Nakupitishia hapo repellants
00.50 Kwa Mtogole hapa MekuUko ni saa ngapi? wakuu
View attachment 3033890
SureI
Itapendeza tuwauwe kabisa sio walewe tulinde kwa Amani
Wacha hujawekewa cheni humuKaribu dm