kipanga85
JF-Expert Member
- Apr 15, 2024
- 2,459
- 6,466
karibuHello jf mamboz na mawazo nani wakunipa ushirikiano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibuHello jf mamboz na mawazo nani wakunipa ushirikiano
Pamoja,one lovetupo good tu
Karibu dmHello jf mamboz na mawazo nani wakunipa ushirikiano
Tupo live😂😂😂Hajambo wazee wa lindo 😀😀
Afadhali kijiwe hakijafa,zamani hapa ilikuwa home sweet home,sema uzee saizi 😀Tupo live😂😂😂
Watu wamekimbia hiki kijiwe😂😂😂Afadhali kijiwe hakijafa,zamani hapa ilikuwa home sweet home,sema uzee saizi 😀
Majukumu yakiongezeka inakuwa ngumu kumaintain kufika kijiweniWatu wamekimbia hiki kijiwe😂😂😂
kuna mwamba mmoja sikumbuki ID yake fresh ila kwenye avatar yupo jamaa flan hivi black na shati kama la chama tawala alikuwa mdau sana hapa
😀😀 Nakupitishia hapo repellantsMwenye Dawa ya Mbu ya kidonge awasheView attachment 3033886 Mbu ni wengi sana lindoni leo.
Itapendeza tuwauwe kabisa sio walewe tulinde kwa Amani😀😀 Nakupitishia hapo repellants
00.50 Kwa Mtogole hapa MekuUko ni saa ngapi? wakuu
View attachment 3033890
SureI
Itapendeza tuwauwe kabisa sio walewe tulinde kwa Amani
Wacha hujawekewa cheni humuKaribu dm