JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

 Huu uzi ni special kwa Wana jamii wanaokosa usingizi muda wa usiku.

Oya wadau, nimekuwa na shida ya kukosa usingizi kila mara, sasa naomba na nyie mnaokosa usingizi mkusanyike hapa. Hebu niambieni huwa mnafanya nini muda ukikosa usingizi?

uko wapi na unafanya nn baada ya kukosa usingizi?
 
Back
Top Bottom