JamiiForums Usiku wa manane

Mi sina hata usingizi nimechoropoka kwa mzazi mwenzangu. Ijumaa nlienda kwa mke wangu tunaishi mikoa tofauti umbali wa 250km leo nimerudi mida ya saa 3 nikaenda kwangu then badae m8da ya saa4 nanusu nikaingia kwake kwa ajili ya kula na kulala. Nikakuta amepika nlivomaliza mida ya saa5 naona anaweka movie, nikamwambia njoo tulale bana mda umeenda akasema hana usingizi basi mm nikalala yapata kama dakika 30 hivi yeye kalala.mzungu wa 4 nakuta amepitiwa usingizi namwita hana habari. Ikumbukwe ijumaa tulihitilafiana nikahisi alienda kupigwa mashine na ex wake coz alikuwa hapokei simu muda wote nilokuwa safarini safari ya 3hrs kwa private.
Nimemwamsha nikamuuliza why ulisema hauna usingizi nimeamka nakukuta umepitiwa usingizi. Ikabidi nimchane wewe leo huna mpango wa kutoa uroda najua wamakukaza nilipokwa safari. Basi endelea kulala mzungu wa 4.
Baada ya kugundua hilo ndo akaja kutaka kuleta K mida ya saa6 nikamwbia haina haja acha tu najua nitakutana na kituko huko down chini nishajua wakukaza basi. Wiki 2 nyuma niligundua kakazw baada ya kukuta mazingira ya kwa bibi sio rafiki nikamwambia ila nlipotezea napo pigo zilikuwa zile zile day naondoka anaita mdogo wake anamwachia mtoto yeye anaenda kukazwa. Nlipogoma kabembeleza hadi saa7 sitaki ikabidi dogo nimlaze kifuani ili asinisumbue. Alivyoona hivo akaenda kukaa nje mi nikalala, saa 8 nastuka hajarudi ikabidi nivae kuondoka kuja kwangu namkuta amekaa nje kwenye ngazi za veranda nikamuaga ndo nipo nimelala kwangu hapa natunga sheria nisionekane tena kwake nimemwambia huyo jamaa akupe matumizzi asiwe anabonyea tu burebure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…