JamiiForums Usiku wa manane

Bado Niko nje ya hii gesti Kama mlinzi. Nasikia humu ndani jamaa baada ya kusikia swala swala wameanza amsha amsha. Wanawake wezi Sana. Walipokuja walikua wanafanya kimya kimya, Sasa hivi humu ndani kila mmoja anajaribu kumzidi mwenzie miguno maana wakati wa kukatiwa pochi umekaribia.
Ulinzi wa kwenye gesti unahitaji ubumilivu jamani.
 
Mwizi kaibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…