JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

kuna lijamaa nmeona mahali linachekelea eti mods wamefuta uzi wako 😆na tangazo ulshatoa kua utafutwa,,nkacheka kmya kmya
Yaani walipolalia ndipo tulipoamkia. Nilisema mapema uzi unafutwa na nikaaga. Anachofurahia nini. Tucheke tu kipenzi hakuna namna 😅😅😅😅😅
 
simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine 😆😆unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamlia
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake 😂😂😂😂
 
Mi nsha ignore watu wa nne sasa,na sjui wanatokea wapi,,sasa utakuta simjib ila hasira zinanpanda balaa😂😂na ignore naachana nae,,ila bora wali mute coz ile id ilkua inapta na yeyote atakae ni tag
 
Back
Top Bottom