Saad30
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 2,737
- 5,464
Typing errors ni 0633Uko nje ya mdaa ilo lisaa tushalipita mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Typing errors ni 0633Uko nje ya mdaa ilo lisaa tushalipita mda
Yaani walipolalia ndipo tulipoamkia. Nilisema mapema uzi unafutwa na nikaaga. Anachofurahia nini. Tucheke tu kipenzi hakuna namna 😅😅😅😅😅kuna lijamaa nmeona mahali linachekelea eti mods wamefuta uzi wako 😆na tangazo ulshatoa kua utafutwa,,nkacheka kmya kmya
🤣🤣🤣wivuYaani walipolalia ndipo tulipoamkia. Nilisema mapema uzi unafutwa na nikaaga. Anachofurahia nini. Tucheke tu kipenzi hakuna namna 😅😅😅😅😅
Uliopitiliza kumbe umeonaee mrembo wangu. Na dawa hawaipati 😄😄😄🤣🤣🤣wivu
nimeona,, lakin nkavunga coz ningeingilia tu, matusi ndio silaha ya watu wa humu ndani🙌🏾Uliopitiliza kumbe umeonaee mrembo wangu. Na dawa hawaipati 😄😄😄
Yes bora hukuingilia kipenzi. Matusi ndiyo silaha ya wengi. Ila hayalipi bill so uchungu uko palepale 🤣🤣🤣🤣🤣nimeona,, lakin nkavunga coz ningeingilia tu, matusi ndio silaha ya watu wa humu ndani🙌🏾
namimi nkishaona matusi nakimbia kabisa 🙌🏾😂Yes bora hukuingilia kipenzi. Matusi ndiyo silaha ya wengi. Ila hayalipi bill so uchungu uko palepale 🤣🤣🤣🤣🤣
Yale yako kule. Nilikusaidia kumreport akafungiwa. Maana niliona mdogo wangu hapa atakimbia 😄😄😄😄😄namimi nkishaona matusi nakimbia kabisa 🙌🏾😂
aah aseee kumbe 🤣🤣🤣aliyekua anasema mm mwanaumeYale yako kule. Nilikusaidia kumreport akafungiwa. Maana niliona mdogo wangu hapa atakimbia 😄😄😄😄😄
Ndiyo nikaona nikatishe yale mashambulizi. Si ukaona kimyaaaaaah aseee kumbe 🤣🤣🤣aliyekua anasema mm mwanaume
nili ignore coz alkua anantia hasira yaan naandka matusi nafuta,,akawa anaendelea,badae nkaona kmya 😂😂🙌🏾 asante bwan,,Ndiyo nikaona nikatishe yale mashambulizi. Si ukaona kimyaaaa
Karibu, sipendagi kuona mtu anaonewa tu na hana kosa. Nikasema huyu nammaliza. Akikuwa ananiudhi sn ile tabianili ignore coz alkua anantia hasira yaan naandka matusi nafuta,,akawa anaendelea,badae nkaona kmya 😂😂🙌🏾 asante bwan,,
ila labda leo nkwambie,,imefungwa id ila mhusika yupo area sana na id yake ya zamanKaribu, sipendagi kuona mtu anaonewa tu na hana kosa. Nikasema huyu nammaliza. Akikuwa ananiudhi sn ile tabia
Kumbe unamjua vizuri. Nyie mnajuana eeh 😅😅😅😅ila labda leo nkwambie,,imefungwa id ila mhusika yupo area sana na id yake ya zaman
simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine 😆😆unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamliaKumbe unamjua vizuri. Nyie mnajuana eeh 😅😅😅😅
Ooh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake 😂😂😂😂simjui wala hatujuani,ila kisirani maneno ya ovyo nkalima ignore, uuuuweeeeh si akaniandalia id nyingine 😆😆unakua kama huwajui watu wa jf wakikuamlia
Mi nsha ignore watu wa nne sasa,na sjui wanatokea wapi,,sasa utakuta simjib ila hasira zinanpanda balaa😂😂na ignore naachana nae,,ila bora wali mute coz ile id ilkua inapta na yeyote atakae ni tagOoh kumbe, sikujua alikusumbua na ID yake nyingine pole jamani. Nilichojifunza, mtu akianza kukushambulia usijibu. Mkalie kimya, atatukana atachoka. Kuna mtu ananitag kila comment, utasema nina figo yake 😂😂😂😂