JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hahahaha
hapa usiku wa manane siye ni familia bhana
ukute naweza toa ushauri wa ki saikilojia
Dr Iceman 3D Mauki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya ngoja dadaako aje akujibu kwa ufasaha zaidi
 
Mida ya kulala hii Wakuu... Au nyie mpo shift ya usiku nini... Au mpo Kwa Trump

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Mida ya kulala hii Wakuu... Au nyie mpo shift ya usiku nini... Au mpo Kwa Trump

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
kuna watu wako alaska now ni saa kumi ndio wametoka job
jf bhana siyo yankushindana nayo kabsa
 
Back
Top Bottom