mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu muda ni kwamba woote walioshiriki shughuli za usiku wanatakiwa kulala hata wanga pia kwisha kaziIkifika saa 12 huwa nashikwaga na usingizi mzito wa maluweluwe
Haaahaa sikulijua Hilo kablaHuu muda ni kwamba woote walioshiriki shughuli za usiku wanatakiwa kulala hata wanga pia kwisha kazi
Unalinda gesti house Kama Mimi?Kumekucha 01:04 nipo lindo
Shida zina mwisho mkuu, kikubwa kupambana.Ni shida tu life hili ,mapenzi yatutese , pesa itutese ,nchi itutese aloo ,usingiz umegoma kabisa manina