JamiiForums Usiku wa manane


Mafundi sometimes wanazingua ni mbayaa.
Tangu asubuhi hajamaliza,afu nimefika anaacha kabisa eti kachokaa👹
Sasa limshangazi nakwenda kujielezaje na gari yake alisema kesho anaenda nayo shughulini😳😳
Au nizime simu wakuu??
Ila sasa siko tayari kuwa nje ya uzi huu wa Jf mida ya wanga🙄😂😂
 
Huyo mwenye kofia ndo fundi?
 
hii nchi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…