Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
00:1101:09
Ni kamzozo! Mi npo macho hamna usingizi kbsAisee kwanini nakosa usingizi nalala saa 9 usiku saa 12 asbh npo macho hata kama nipo na kazi mchana najisikia hangover ya usingizi tu
Kuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂Ni kamzozo! Mi npo macho hamna usingizi kbs
hatari sanaKuna kazi kitu nafanya hapa kwenye pc nilikiona tiktok hawa Waseng*** AI watatuua na njaaa yaani sasa hivi hata kama haujasoma computer coding unaweza uka design wwbsite kwa kujaza aina ya website unayotaka ma jina lako inakuletea mpaka maelezo yote yaani wewe ni kuandika. Mpaji Mungu Real estate company ima design kila kitu 😂😂😂